Inspiration

Kanuni kumi za mafanikio kutoka kwa Jessika Alba ( top ten rules of success from |Jessika Alba )

on

 

1.Chochote unachotaka kufanikisha unaweza kufanikisha ( anything that you want to achieve you can achieve)

2.Endeshwa kwa vikwazo ( be driven by resistance )

3. Wawajibishe watu kwa namna ambayo wewe unawajibishe ( treat people the way you want to be         treated )

4. Tumia maoni kuboresha bidhaa zako ( Use feedback to improve your product )

5. Tengeneza bidhaa ambazo unajivunia nazo ( create product which your proud of )

6. Wahamasishe wengine wawe wabunifu ( encourage others to be creative )

7. Pambana ( hustle )

8. Jua madhaifu yako ( know your weakness )

9. Usielezewe kwa makosa yako ( don’t be defined by mistakes )

10. Kuna njia ya kufanya kwa ubora zaidi ( there is a way to do it better )

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *