Uncategorized

Kanuni kumi za mafanikio kutoka kwa Wema Sepetu.

By  | 

1. Kila kitu kina Chanya na Nasi.

2. Usijione umefika.

3. Jishushe.

4. Kuwa mpenda watu.

5. Kila kitu hutokea kwa muda.

6. Kuwa wewe.

7. Kipe thamani kitu chako.

8. Jiamini.

9. Usikate tamaa kwa kitu unachokifanya.

10. Amini kwa unachokifanya.

Source; The avenue mawazo huru online youtube