Inspiration

Kanuni kumi za mafanikio kutoka kwa Mrisho Mpoto

on

 

Ni msanii wa miondoko   ya Bongo fleva ambaye kajikita sana katika muziki wa asili na anafahamika kwa misemo na utunzi wake wa mashairi  kwa kiswahili sanifu Amezunguka katika semina ya fursa iliyoendeshwa Clouds Media Group pia ni msanii pekee aliyewahi kutembea peku akiamini kwamba ili kufanikiwa lazima uweke utofauti katika unachokifanya ahizi apa kanuni zake kumi za mafanikio

1. Chukua Muda Mrefu

2. Unaweza ansema sikiliza sauti yako achana na sauti za mbele,nyuma na pembeni.

3. Kikwazo ndiyo fursa

4. Mtaji siyo pesa ni matayarisho na nafasi

5. Tumia rasilimali watu

6. Ongeza dhamani

7. Tuishi kwa ndoto zetu

8. Kuwa muwazi na mkweli

9. Badilisha jinsi ya kufikiri kutoka hasi kwenda chanya

10. Hakuna neno kushindwa ni kitu gani unatanguliza katika maisha yako kama kipaumbele chako

Kanuni hizi zimeandaliwa kwa kusikiliza mahojiano mbalimbali ya msaniii huyu hasahasa katika kipindi cha The Avenue Mawazohuru kinachorushwa na TBC Tv

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *