Inspiration

Kanuni kumi za mafanikio kutoka kwa mtu wa nguvu Millard Ayo

on

 

Ni mtangazaji wa kipindi cha top 20 na Amplifier vyote vya Clouds Fm pia anamiliki studio yake mwenyewe ambayo hufanya vipindi na kuviweka katika channel yake maarufu ya Ayo TV, Millard Ayo.com ni mtandao ambao hutoa habari nyingi sana hadi kuweza kushinda katika Tuzo za watu.

Amewahi kufanya kazi bure bila kulipwa katika TVZ huko zanzibar pia katika kituo kimoja cha redio ya dini Dar es salam. hizi hapa kanuni zake kumi za mafanikio;-

1. Msukumo wa ndani(passion) ni bora kuliko elimu

2. Kitu ambacho hujapangiwa siyo cha kwako.

3. Kuwa na wepesi wa kutafuta nafasi

4. Jitolee ii  kupata ujuzi zaidi

5. Uzoefu ni bora kuliko pesa.

6. Usikate tamaa kikazi hata kama kibinadamu moyo unakata tamaa.

7. Pambana kama mwanajeshi

8. Sikiliza mawazo ya watu.

9. Weka nguvu kwenye vitu unavyovitaka

10. Shukuru kwa kila jambo.

Kanuni hizi za mafanikio kutoka kwa mtagazaji huyu zimeandaliwa kwa kusikiliza mahojiano yake katika vipindi vya The avenue mawazohuru na sporah show.

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *