Inspiration

Kanuni kumi za mafanikio kutoka kwa Joh Makini

on

1. Mwamini Mungu.

Joh Anasema hivi” kuna vitu Mungu huwa anapanga japo kuwa sisi tunapanga”

2. Fanya vitu tofauti tofauti.

Joh anasema hivi “Fanya vitu ladha toufauti nimeshafanya sana na Rappers wengi sasa nataka kufanya vitu na wanaoimba Africa”

3. Fanya kazi kwa bidii.

Joh anasema “kuna looser nawaita wanafikiria kwamba Weusi tunabebwa na Media ila ni kazi kufanya kazi kwa bidii”

4. Fanya kitu kituri.

Anasema hivi “policy yetu ni good music kwa hiyo kila mtu anapenda hata kama wewe unasikiliza taratibu”

5. Tafuta njia yako.

Anasema hivi “Wewe unaweza kuwa unafanya rap au R&B ila baadaye unavyoendelea kujitafuta zaidi na kupata njia yako”

6. Umoja

“Weusi kampuni tulianzisha baada ya kuona kwamba muziki umebadilika pia tulianzisha ili kufanya international zaidi”.

7. Kuwa na msimamo.

“Mimi nilikuwa na harakati zangu na malengo yangu katika maisha kwa hiyo kama ukija harakati zako zikiwa zinaharibu malengo yangu sitofanya”.

8. Fanya vitu vinavyojionesha siyo wewe ujioneshe.

” mimi nataka nifanye vitu ambavyo viko kwenye level fulani ambavyo i don’t need to introduce myself niwenafanya vitu vinavyojieleza”.

9. Kujitambua

“Mwanamuziki unatakiwa kujitambua na kufanya Muziki ambao unakutambulisha wewe. ila siyo vibaya ukachanganya ladha”

10. Ndoto
” Weusi tunataka kuja kuwa na record label ndio maana tunafanya kazi kwa bidii ili tufikie dream zetu”

Sources; Mkasi TV online you tube channel

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *