Inspiration

KANUNI KUMI ZA MAFANIKIO KUTOKA KWA DIAMOND PLATNUMZ

on

 

Diamond Plantnumz ni msanii ambaye kwa sasa anaiwakilisha vizuri sana bendera ya Tanzania katika nchi mbalimbali duniani kijana huyu ambaye alianzia mziki wake katika mitaa Tandale akiwa katika maisha ya chini sana kwa sasa anamiliki record lebal yake yenye wasani kama Rayvany, Harmonize, Qeen Darling na Rich Mavoko huku akiwa amebeba tuzo nyingi sana za kimataifa. hizi ndizo kanuni zake za mafanikio.

1. Jitume ( wark hard)

2. Mwamini Mungu ( beleave in God)

3. Kuwa na nia( have a passsion)

4. Kuwa mbunifu ( be creative)

5. Fikiria sana ( think deep)

6. Kila kitu kinawezekana( everything is possible)

7. Amini unaweza ( beleave you can)

8. Heshimu kila mtu ( respect everyone)

9. kuwa tofauti ( be different)

10. Kuwa mvumilia( be torelant)

Kanuni hizi zimepatika kwa kusikiliza mahojiano mbalimbali ya msanii huyu na kutafuta mambo ambayo kwa upende wake anaamini mtu akiyafanya atafanikiwa. Na yeye alitumia ili kufanikisha kazi yake.

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *