Inspiration

Kanuni kumi za mafanikio kutoka kwa Donald Trump ( top ten rules by Donald Trump)

on

 

1. Usifanye kwa sababu ya pesa ( do not do it for money)

2. Usikate tamaa kamwe ( never give up )

3. Jua  kundani zaidi ( be into details)

4. Angalia mbele zaidi ( be totally focus)

5. Pata wafanyakazi wenye uwezo mkubwa ( get great employees)

6. Fanya kazi kwa bidii ( work hard)

7. Fuata hisia  zako ( follow your instincts)

8. Jiamini mwenyewe ( beleave in yourself)

9. kuwa na meza chafu ( have a messy desk)

10. Penda unachokifanya ( love what you do)

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *