Cellebs

Kanuni kumi za mafanikio kutoka kwa Nancy Sumari

on

 

1. Maono yako ni muhimu sana ,Kuwa na maono na imani kisha yapangilie maono yako.

2. Shikilia mawazo yako ya asili kisha soma mawazo ya wengine.

3. Fanya kazi kwa rasilimali ulizo nazo

4. Jifunze; “napenda kusoma, fungua akili yako, jiendeleze mwenyewe”.

5. Kuwa na ndoto kubwa kwa kitu unachokifanya.

6. Gundua fursa haraka zaidi kushinda mtu mwingine yeyote.

7. Kuwa mwelewa na mwenye kudai.

8. Fanya kazi kwa bidii na simamia sharti lako.

9. Fanya kitu tofauti na waonyeshe si sawa.

10. Jua wewe ni nani na unataka nini.

Kanuni hizi zimeandaliwa kwa kusikiliza mahojiano ya mjasiriamali huyu katika startup Grid youtube channel

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *