Uncategorized

KANUNI KUMI ZA KUFANIKIWA KUTOKA KWA JACKIE CHAN(ten rules of success from Jackie Chan)

By  | 
  • Be youreslf( kuwa mwenyewe) 
fanya vitu kwa akili yako usipende kusikiliza sana watu.
  • Do it with your own way( fanya kwa njia zako mwenyewe)
usipende kuigiga kitu hadi mwezako anavyokifanya tumia akili yako Mungu aliyokupa kufanya kwa uwezo wako unachotaka kufanya.
  • Learn from your advicers( jifunze kutoka kwa washauri wako)
hakikisha unapofanya kitu kutoka kwingine nje ya malengo yako iga jinsi ambavyo wale ambao wanakuongoza wanafanya bila hata wao kugundua.
  • Work hard( fanya kazi kwa bidii)
  • Do it while your young( fanya angali ukiwa kijana)
kama kuna kitu unataka kuanzisha muda ni sasa ukiwa kijana kisome kwa umakini kisha kifanyie vitendo.
  • It is not all about money( vyote si kwa sababu ya pesa)
fanya kitu kwa sababu ni kitu unakipenda usiweke hela mbele katika malengo yako.
  • Be different( kuwa wa tofauti)
  • Do the best you can( fanya vyema kadiri unavyoweza )
  • Keep your promises ( tunza ahadi zako)
andika mahali kitu ambacho unataka kufanya na kufanikisha katika maisha kisha enenda katika hizo ahadi.
  • Have a mentor( kuwa na mkufunzi)
huyu ni mtu ambaye atakueleza katika maswala ambayo unafanya kiushauri pia kimaadili ili kuweza kutunza kipaji chako au biashara ambayo unafanya kwa mafanikio zaidi.
Mtokambali 728x90

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

0