Inspiration

KANUNI KUMI ZA KUFANIKIWA KUTOKA KWA P DIDY( top ten rules of success by P Didy)

on

1. Jiamini (Beleave)

2.   Penda unachokifanya(Love what your doing)

3.  jifungie ndani ya ndoto zako(Lock in on your dream)

4.  kuwa karibu na habari (Be around information)

5. Ramp it up

6. Huwezi kupata mafanikio bila kushindwa ( you can not achieve success without failure)

7. Usiwe muoga ( Usiwe muoga)

8. Siku zote jua kitu sahihi ( always know the right things)

9. Fanya kitu ambacho ni  asili yako ( Do what is original to you)

10. Atasiku moja usipoteze mwelekeo wa malengo yako ( never loose sight of your dreams)

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *