Inspiration

KANUNI KUMI ZA KUFANIKIWA KUTOKA KWA WARREN BUFFETT’S( top ten rules of success by Warren Buffett’s)

on

 

1. Tafuta shauku au hamu ya kitu unachotaka (find your passion)

2. Ajiri vizuri ( hire well)

3. Usijali watu wanakufikiriaje ( do not care what others think)

4. Soma, soma, soma ( read,read,read)

5. Kuwa na ulasama kiasi ( Have a margin of safety)

6. Shindana kwa faida ( have a compititive advantage)

7. Ratibu mwonekano wako ( schedule your personality)

8. Siku zote kuwa rafiki ( always be companion)

9. Mafanikio ni mfano wa bidii yako ( success is model of your hard working)

10.Toa upendo usiokuwa na sababu ( give unconditional love)

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *