Inspiration

Kanuni 10 za mafanikio kutoka kwa legendary Bongo Fleva Mh.Prof Jay

on

 

Ni msanii ambaye ameanza muziki miaka ya 1990 akiwa chini ya kundi la Hard Blasters allifanya muziki wa kuelimisha sana na kufungua akili za wasikilizaji nyimbo zake kama Chemsha Bongo, Kikao cha dharura, Ndio mzee na Siyo mzee pia nang’atuka kwa sasa ni mbunge wa mikumi. Hizi hapa kaununi zake kumi za mafanikio;

1. Kujitambua

2. Kujielewa

3. Fanya vitu ili kuvuta watu;
Baada ya kuona mziki wetu baba zetu na mama zetu wanachukulia uhuni tuliamua kuufanya kwa aina ya kuwavuta watu wazima.

4. Kubadilika;
Tuliacha kuiga mambo ya wasanii wa nje na kuanza kuvaa vizuri kubadilika ili kuonyesha muziki wetu siyo wa kihuni.

5. Kuwa na mfumo endelevu kwa kitu ambacho unakifanya.

6. Sikiliza maoni kutoka kwa watu
Sikiliza maoni kutoka kwa mashabiki kuhusu kukoselewa na kupongezwa pale unapofanya vizuri.

7. Kuwa na maisha ya Binafsi pia kuwa na maisha ya umma
Kuna prof Jay na Joseph Haule anayemwongoza Prof Jay ni Joseph Haule kwa hiyo nje ya jukwaa ni Joseph Haule ila kwenye Jukwaa ni Prof Jay.

8. Hamasisha vijana;
Namkubali sana Sugu kwa sababu amenihamasisha kuingia katika siasa na hii inanifanya nihamasishe vijana wenzangu kufanya wanachotaka kufanya.

9. Umoja;
Naamini katika umoja sana

10. Ubunifu kwa kitu ambacho unakifanya.

Kanuni hizi zimeandaliwa kwa kusikiliza mahojiano mbalimbali ya msanii na mwanasiasa huyu hasa katika  MLIMANIDOT COM.

.>

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *