Inspiration

Kanani tano za mafanikio kutoka kwa Dr. Mwaka

on

1. Mabadiliko hudumu

Ulivyo leo si sawa na utakavyokuwa krsho

2.  thibitisha uongo

Mimi nilitokea familia ya kimasikini nilipambana ili kuonyesha kwamba hata watoto wa maskini tunaweza siyo wa matajiri tuu.

3. Usishindwe kitu

mimi mbinu yangu ya mafanikio ni sishindwi kitu chochote hata kama kikwazo kikijitokeza.

4. Usikate tamaa

Sirudi nyuma sikati tamaa nikiamua kwenda naenda siogopi.

5. Jiamini

unapofanya kitu chochote elewa utapata tuu usiogope jiamini kama unafanya biashara utatoka tuu.

Kanuni hizi za mafanikio kutoka kwa dr Mwaka  huyu  zimeandaliwa kwa kusikiliza mahojiano yake katika kipindi cha The avenue mawazohuru.


Kaa karibu na blog hii ili kuweza kupata makala mbalimbali za kiafya, kimaisha na kijasiriamali ambazo zimeandaliwa na kijana mpenda maendeleo Romani a.k.a NJIBA karibuni sana sana sana

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *