Health&Food

Kama unaona hizi dalili basi Ini lako linaweza kuwa limeharibika

on

Dalili hutofautiana kulingana na ini lilivyo haribiwa.
Wakati wa mwanzoni huwezi ukaona dalili hizi hata katika vipomo vya mahabara.
Kadri siku zinavyoenda unaweza kusikia dalili zifuatazo;-
 • kuchokachoka
 • kuhisi kichefuchefu
 • kulegea
 • kukosa hamu kula
 • uzito kupungua
 • kukosa nguvu.

Baada ya ini kuendelea kulika zaidi dalili hizi ndiyo hutokea;-

 • Ngozi na macho kuwa ya njano
 • kucha kujikunja kama kijiko.
 • Robo ya ngozi hubadilika na kuwa nyeusi.
 • Tumbo kujaa.
 • Kuchubuka kirahisi
 • Damu kushindwa kuganda kwa haraka.
 • Kwa wanaume matiti huvimba zaidi
 • Miguu kuvimba
Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *