LifeStyle

KAMA UNA HIZI TABIA NNE WEWE UNA AKILI YA KISHUPAVU ( fours characteristics of mental toughness)

on


Realize that obstacles and challenges are only temporary. For any concern or issue, there is always a solution. Knowing how to be mentally tough is a step forward in the right direction

kujua changamoto na vikwazo ni vitu vya muda tuu kwa kitu chochote kinachokutokea jua kuna njia mbadala ya kukitatua pia kujua kwamba wewe ni shupavu kiakii ni njia nzuri ya kukufanya wewe kutatua changamoto.

1. Kujiamini ( comfidence)
katika maisha huwezi kusema wewe ni shupavu kama hujiamini mwenyewe au huwezi kufanya maamuzi peke yako, Kabla ya kufanya kitu chochote lazima ufikirie kwanza ndio uongee au ukisema alafu ukifanye. Fikiria kila siku unatengeneza mawazo gani je unaishi na watu wanaotengeneza mawazo gani?
Before you act think correctly this wil value you like you have mental toughness.


2. Changamoto ( challange)
Life is all about adapting. Things never remain the same so like it or not, we need to adapt. Life will always challenge and push us. The only way to come out on top is to constantly grow and adapt.

maisha ni kuendana na kinachotokea je changamoto zikikukabili inamaana hutaishi? lazima ukubaliane nazo kisha uweke dhamira ya kuzikabili na kupata njia na kuzitatua na maisha yako yote utakuwa ukifanikiwa kwa asilimia nyingi.

3. Tawala ( control)
People who are mentally tough are aware of the things they can control: how they react to different outcomes, the thoughts they entertain their performance, emotions, etc. and use this to their advantage. they have the ability to alter certain situations and come up with the best outcome possible and guess what…they’re usually right.

Watu wenye akili shupavu wanakuwa wanaelewa kitu ambacho wanakitaka pia wanaelewa jinsi ya kukitawala hawaongozwi na maneno ya watu au hisia zako pia wanaweza kupmbana na matokeo tofauti tofauti mazuri au mabaya. Kutokuwa na huwezo huu kutakufanya wewe kukosa maamuzi yako binafsi na kuchukulia vitu kwa pressure.

4. Masharti ( Commitment)
People who succeed are people who start something and finish it. They stick around until their goal is met. Is that something that you do? The more committed you are at something, the bigger chance you will succeed at it.

Watu ambao wamefanikiwa ni wale ambao wanaanzisha kitu na kukimaliza vizuri kisha kufikiria kingine ambacho kinaweza kuwaongezea kitu katika kitu walichokianzisha. Je wewe unafanya hivyo? pia wao kila siku wanafikiria kuhusu malengo yao na kama ukifanya hivi ukajiwekea sharti la kufanya kitu kwa msimamo wako hadi kifanikiwe wewe unaasilimia kubwa za kufanikiwa

 

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *