Health&Food

JE UNAJUA UGONJWA YA MAPAFU UNAOSABABISHWA NA SHUGHULI HATARISHI(OCCUPATIONAL EXPOSURE LUNG DISEASE)

on

1.ASTHMA

Huu ni ugonjwa wa mapafu ambao unasikia kutokuhema vizuri na sauti kutoka wakati unatoa hewa nje ambayo kwa kitaalamu huitwa wheezing sound. Huu ni ugonjwa ambao huonyesha dalili zifuatazo;

  • Kushindwa kutoa hewa vizuri wakati wa kuhema(airflow obstraction):- Hii hutokea pale ambapo mishipa ya kwenye koo la hewa inakaza na kusababisha koo la hewa kuwa jembamba ambayo kitaalam huitwa muscle conconstriction.
  • Kukohoa kikohozi kikavu(dry cough) hii hutokea hasa pale ambapo umenusa kitu ambacho hakitakiwi ndani ya koo la hewa hivyo kusababisha irritation yani kuondoa ule ukawaida ya mapafu.
  • Kuhema kwa shida(dyspnea) hii pia huletwa na haya haya mambo ya misuli ya kwenye mapafu kukaza(brochospasm)

SABABU ZINAZOPELEKEA KUPATA UGONJWA HUU zimegawanyika mara mbili;

  1. kimazingira kama vumbi,pafumu kali,baridi na kwa watu ambao wanafanya kazi kwa viwanda vya maua.
  2. kuridhi familia zingine huzaliwa na haya marathi.
  3. kuvuta sigara

MATIBABU;

  • kubadilisha namna unavyo  ishi(life style modification) acha uvutaji wa sigara pia kaa mbali na vitu vyote ambavyo hukuletea allegy na kifua kubana pia usitumia pafumu kali pia usikae karibu na watu wanaotumia pafumu kali.
  • bronchodilator hizi ni dawa kama aminophyline hutolewa matumizi ya muda mfupi. ( salbutamol  kwa matumizi ya  muda mrefu) hizi ni dawa ambazo hutolewa na daktari kazi yake ni kuwezesha koo la hewa kutanuka na kumuwezesha mgonjwa kupumua vizuri.
  • corticosteroids hizi ni dawa kama hyrocotisone na predinisolone hizi pia huweza kupambana na allegy mwilini na kuzua mwili kupambana na hiyo allegy.

 

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *