Health&Food

JINSI YA KUKUFANYA ILI KUTOKUPUNGUA UZITO AU KUONGEZEKA.

on

1. KULA VYAKULA VYENYE PTOTINI

hii husaidia kukufanya mwili usichoke pia hufanya mwili wako kuongeza kinga za mwili kama chembe hai nyeupe za damu. vyakula ni kama nyama, maharage, mayai, maziwa pia hii itakusaidia kuepukana ma maradhi mbali mbali ya mwili.

2. KUBALIANA NA JINSI ULIVYO NA JIPONGEZE KWA MATOKEO.

Pale ambapo unaona mwili wako ni mbaya kwa maana kwamba umezidi kiwango ambacho wewe hukutarajia usichukie kubali hiyo hali alafu anza kufanya mazoezi na kuhakikisha mwili unakuwa pouwa. pia punguza msosi aina ya protein.

3. ACHA KUENDEKEZA USINGIZI

Hakikisha unalala masaa yasiyozidi 7 kwa sababu kulala sana inapelekea mwili wako kuchoka, kukosa usingizi, homoni za mwili kutokuwa na usawa pia utakosa hamu ya kula na mwisho kunenepa ovyo. kwa hiyo hakikisha kwamba unalala kwa tome table.

4. PENDA KUTUMIA HELA YAKO KWA MABO YA MUHIMU.

Katika maisha ya watu wengi huwa hawapendi kutumia hela kwa vitu ambavyo siyo vya lazima kwa sasa kuna baadhi ya vyakula ambavyo ukitumia unaweza kufanya uzito wako usipungue au uongezeke. ni vyema ukanunua na kutumia ili kuweza kufanya mwili wako uwe bomba.

5. MUDA WOTE KUWA MCHANGAMFU.

Hakikisha namna yako ya kuishi inakuweka katika hali ya kuwa na kilo ambozo hazipungui wala haziongezeki. uwe na ratiba ya siku inayokufanya uwe makini na kuwa kuwa buzy katika siku yako.

6. FANYA MAZOEZI.

Ukiona uzito unaongezeka fanya kwenda gim, kimbia au ikiwezekana cheza mpira lakini nakushauri kwamba fanya mazoezi kulingana na uzito wako ili kuepusha maradhi ya mwili kama kuwa tasa, moyo kuuma pia tezi dume.

 

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *