Uncategorized

JE UNAJUA KWA NINI WATU WENGI WANASHINDWA KEJIWEKEA MALENGO?

on

UNAJUA WATU WENGI WANASHINDWA KUWA NA UTHUBUTU WA KUJIWEKEA MALENGO HII NI KWA SABABU HAWAJUI KWAMBA MWANZO WA KUFANIKIWA NI KUJIWEKEA MALENGO PIA LENGO NI KITU AMBACHO KINAKUFANYA WEWE KUWA NA HAMU KIU NA SHAUKU YA KUFAMYA KAZI KWA BIDII PIA HUKUONYESHA WEWE DIRA YA MAISHA YAKO.

1.Kuwa na tabia ya kuwaza mambo mabaya(passimistic attitude); hii ni ile tabia ya kutaka kufanya kitu na kuanza kuwaza kwamba kataendelea kwa muda mrefu mara watu hatanielewa au nitakosa msaada kwa watu kunisaidia kiujumla ni ile hali ya kujiwekea mawazo hasi katika lengo ambalo unataka kulipanga.
mfano upata idea ya kutaka kufanya biashara ya kuuza nyasi za ng’ombe kama chakula cha chake afu umesoma mpaka form six na umekosa ajira unaanza kuwaza kwamba je watu watanionaje na usomi wangu? badala ya kuwaza kwamba ni watu wangapi watakuja kwangu kuhitaji majani kwa ajili ya mifugo yao? kwa kuwaza hivyo tu utakuwa umepata kiu ya kuanza hiyo biashara ila ukiwaza watu watanionaje huwez kuanza hiyo kazi.kwa hiyo utaweza weka lengo.

2.Kogopa kushindwa(fear of feilure); lazma ukubali kuwa kufeli ni sehemu ya mafanikio(learn from mistakea not learn the mistakes) jua kwamba hakuna mtu anayefanikiwa bila vikwako. katika hali ya kawaida kila kitu kina faida na hasara na binadawa tumepewa uwezo wa kuwa na fikra hizi mbili pale ambapo tunaanza kufanya kazi zetu na maisha yetu. SASA NI NAMNA GANI UNAWEZA ZUIA KUWAZA HASARA? ni kwa uraisi tuu anza kuwaza faida kwanza afu weka mipango ya kupambana na changamoto za lengo lako.usipende kujiuliza kwa nn imetokea? jiulkize ikitokea nifanyeje?.
mfano usiwaze hawa kuku kwa nn wamekufa kwa ugonjwa wa kideri je? waza kwamba nikileta wengine nifanyeje wasife na kideri?

3.Kukosa hamu(lack of ambition) mtu hukosa hamu ya kufanya kitu kama yeye mwenyewe hajaona vizuri umuhimu wa hicho kitu mbeleni(ambition with clear vision) mfano kama umeona mwenyewe kwamba sehemu fulani watu wanashida ya elimu kuhusu ukeketaji wa wasichana na wewe ukammua kufanya hicho kitu lazima kwanza uone faida ya hicho kitu kwa macho ya kifikra ndipo utaweza pata hamu ya kufanya. ukifanya kitu ambacho unahamu nacho hata kama huwezi kushindwa hata ukikutana na changamoto.

4.kuogopa kuacha(fear of rejection) hapa ni pale unawaza kwamba nikianzisha hiki kitu nikiacha wataniaonaje je nitafanya nn nikiacha je si nitappata hasara nikiacha hayo ni mawazo mgando siku zote waza kwamba hiki kitu kibadilisha maisha yangu kwa hiyo siwezi kukiacha pia hamu ya kukifanya ninayo pia nitapambana kisimame
siku zote waza kuishi na siyo kufa coz kuishi ni bahati na kufa ni lazma. usipende kuwaambia watu mambo yako ambao ni wakatisha tamaa kwa sababu watakwambia hujui huwezi utashisdwa hutapa helaa kwa hiyo utaanza ogopa ukishindwa itakuwaje?

5. Kuhairisha (procrastination) watu wengi wanafikiri ili malengo yako yatimie lazima uwe na hela ya kuyatekeleza kwa hiyo kama hawana hela tunaanza kusema nikipata hela nitaanza hiyo ni ndoto ya alinacha kwa sababu mfano nikiuuliza unataka shiling ngap unaweza nijibu? hivyo basi ukishapanga kwamba naanza kuuza nguo 6/7./2016 basi hakikisha huahirishi kwa sababu watu wengi wanamawazo kama yako so watakuwahi hata kama mtaji ni kidogo anza tuu.

KWA KIFUPI HAYA NDIYO NIMEWALETEA SIKU YA LEO ENDELEA KUFUATILIA UPDATE ZANGU FACEBOOK NATUMIA LELO BARAKA TWITER NATUMIA ROMANI OLOMY EMAIL NI NJIBAHOOD@GMAIL.COM AU NJIBAHOOD94@GMAIL.COM

Recommended for you

1 Comment

  1. MAWERE MTOKA MBALI

    August 20, 2015 at 2:27 pm

    good brother i think we wanna change

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *