Health&Food

Hizi ndizo dalili za ujauzito (signs of pregnacy)

on

1.DALILI ZINAZOWEZEKANA( POSSIBLE SIGNS) hizi huwa mwanamke anaziona mwenyewe(this felt by woman herself)

 • Matiti kuwa makubwa na chuchu kuwa nyeusi hutokea wiki ya pili hadi ya nne

enlargement of breast darkness of areaola this happen from 2 up to 4 weeks.

 • kutokuona siku zako(amenorrhea) hii hutokea baada ya wiki ya nne.
 • kuumwa umwa asubuhi(morning sickness) hutokea kuanzia wiki ya nne hadi ya 14.
 • kukojoa mara kwa mara(frequency micturation) hutokea wiki ya 6 hadi ya 12
 • kusikia mtoto anacheza ndani ya kizazi( movement of fetus) hutokea wiki ya 16 hadi 22

2.DALILI ZA KUTOKEA MIMBA(PROBABLE SIGNS)
This seen by examiner(mpimaji huona hizi)

 • kupatikana kwa hormoni inayozalishwa na mwili wakati wa mimba ndani ya damu au mkojo.kutoka siku ya 9 hadi 14.

presence of human chorionic gonadotrophin homorne in blood or urine

 • Uke kuwa wa bluu( blue vigina) hutokea wiki ya 8
 • Kizazi kuwa kikubwa(growth of uterus)
 • skin pigmentation( ngozi kuwa nyeusi hasa hasa kwenye tumbo)

3.POSITIVE SIGNS( DALILI CHANYA)

 • Hearing fetal pulse rate(kusikia mapigo ya moyo ya mtoto)

wiki ya sita kwenye utra sound na wiki ya 16mpaka 20 kwa kutumia fetalscope.

 • visualization of fetal parts(kuona sehemu za mwili za kichanga) wiki ya 22 kwa utra sound.
 • fetal movement(mtoto kucheza) wiki ya 22
Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *