Uncategorized

JE UNAJUA CHANJO MPYA YA MALARIA?

on

 MALARIA NI UGONJWA AMBAO UNASABAISHWA NA PARASITI ANAYEITWA PLASMODIAM.HUYU MDUDU HUISHI KWA MBU NA PALE AMBAPO MBU ANAKUNG’ANTA HUKUACHIA HAWA WADUDU. DALILI ZAKE NI KAMA KICHWA KUUMA VIUNGO KUUMA KUKOSA HAMU YA KULA HOMA N.K

MOSQUIRIX

Hii ni chanjo ya malaria ambayo Umoja wa nchi za ulaya(E.U) umeidhibitisha rasmi tarehe 12 mwezi wa 7 mwaka 2015 kuwa ni chanjo rasmi kwa malaria. Itakayotolewa kwa watoto wenye umri kwanzia wiki sita hadi mienzi 17.

Mdudu ambaye anaweza kuuwawa na hii chanjo ni plasmodium faclparum ambaye ni kati ya wadudu tano wanaosababisha malaria.mnama mwaka 2013 inakadiriwa kwamba malaria imeuwa watu zaidi ya 627000 dunia nzima 90% watoka nchi za jangwa la sahara.

hii chanja mpya ya malaria pamoja na ile ya homa ya ini itadhibitishwa rasmi Shirika la Afya duniani (WHO)  Mwaka 2017 na kuanza kutumika katika maeneo ambayo yanaongeoza kwa kuadhiriwa na maambukizi ya malaria(malaria endemic countries specificaly sub saharan countries)

INAFANYAJE KAZI(MODE OF ACTION)


Inamzuia huyu mdudu aitwaye plasmodium fulparum  kukuadhiri kukua na kuzaliana katika ini lako( it limit this parasite to infect muture and multply in the liver)

MAUDHI MADOGO MADOGO(SIDE EFFECT)


  • Homa
  • sehemu iliyochomwa kupata miwasho
  • kuwashwaa

SITE FOR INJECTION IS INTRAVENOUS(I/V)


KWA MAELEZO ZAIDI KUHISU HII CHANJO TEMBELEA HAPA

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *