Uncategorized

HUYU NDIEYE STAA WA NGOMA AIYOLA NA HUSTLING ZAKE.

on

Akiongea na Millard Ayo msanii Harmonize akihojiwa amesema kwamba Diamond ngiye msanii anaye mkubali. Anaitwa Rajabu Albukarim amezaliwa mwaka 1992 na ni mtoto wa tatu.
Amezaliwa na kusoma huko Mtwara Kitohoru primary na pia amesoma sekondari ya Mkuni hakuweza kumaliza form 4 baada ya wazazi wake kumkataza.
2009 alikuja Dar es salam na kujishughulisha na kuuza duka ilipofika mwaka 2011 alianza harakati za kimuziki na kumfanya shemeji yake kumfukuza nyumbani. akamwambia kama ameamua kufanya muziki atafute sehemu ambayo atamruhusu yeye kufanya muziki.
Hapo aliamuamua kuhamia tabata kwa rafiki yake na kuishi nae huku akimtafuta michongo yake. Alikuwa anapenda sana kwenda studio ili kujishuhulisha na kuonekana na kuzoeleka ndani ya hizo studio.
Rafiki yake alimshauri asifanye mziki tuu na yeye kuamua kufanya biashara za mtumba tandika sokoni. Rafiki yake alipata matatizo na kurudi kwao na kumfanya msanii huyu kulala sokoni tandika. alikuwa analala pale sudani kwa sababu watu wengi huwa hawalali mapema hapo.

Aliweza kupanga Kiwalani chumba ambacho hakina umeme kwa sh. 12000 kwa mwenzi. Alikutana na Uncle G studio na kuzoeana na baada ya muda akafukuzwa katika biashara ya mtumba na kwenda kufanya biashara ya kuuza pochi za wamama katika duka la Wachina katika mtaa wa kariakoo. akawa kama mtu wa stoo kwa mwenzi alilipwa 170,000 yeye na mshakaji wake.

alifanya kazi kwa muda wa mienzi sita na kupata hela kununua vitu vya ndani na kuacha kazi na kuamua kujikita katika mziki na ilifika hatua akawa anapiga debe ili apate nauli ya kwenda studio kufanya mazoezi.

Alirekodi nyimbo nyimngi na kufanya kollabo na wasanii mbalimbali ila siyo mastaa. Alikutana na Q chief 2014 baada ya kurekodi kidonda changu kwa MAZUU na kushauriwa asiutoe. Alipigiwa simu na mazuu na kuambiwa Q chief anamuita na kumuomba ampe hiyo ngoma ya KIDONDA ili imrudishe kwenye gemu. Q chef aliahidi kwamba atamfanyia mpango ili asainiwe QES.

FOR YOU ndio ngoma ambayo Q chief alishirikiana na yeye kutengeneza nyimba hiyo. baada ya hapo ndio alikutana na diamond na kusainiwa WASAFI STUDIO. Na kuwa chini na managment ya DIAMOND na kutoa nyimbo AIYOLA.

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *