Cellebs

HISTORIA YA MSANII DRAKE

onMjue Aubrey Drake Graham a.k.a Drake

Ni msanii aliye lelewa na mzazi mmoja tu ambaye ni mama yake mzazi katika jiji la Toronto nchini Canada. msanii huyu alizaliwa mnamo  October 24, 1986. akiwa na miaka mitano wazazi wake waliweza kutengana,ila kw amuda huo kijana Drake aliweza kuwasiliana na wazazi wake wote . Drake alianza kuandika nyimbo alikiwa na miak kumi,ila alianza kutumia kipaji chake kama muigizaji mdogo kwenye Showbiz industry.

kupitia kujipatia umaarufu katika uigizaji huo Drake aliamua pia kujaribu muziki ambapo mna mwaka 2006 aliweza kuachia mixtape yake ya kwanza iliyoitwa”Room for Improvement”. Mwaka uliofuata alirudi tena na mixtape ya kujitegemea ya “Comeback Season”. Moja ya single  zake,”Replacement Girl”, ilishika chati mpaka kufikia namba 21 kwenye chati za  R&B/Hip-Hop Singles.

Drake aliweza kuanzisha urafiki na rapa mwenzake ama bosi wake Lil Wayne na kuweza kutengeneza collabo nae ya remix wa wimbo unaojulikana kama “Man of the Year”. Chini ya usaidizi wa Young Money founder, aliweza kutengeneza mixtape nyingine iliyoitwa”So Far Gone” na kuweza kuiachia 2009, pia laiweza kuungana na kiongozi wake Trey Songz na wengine kama Peter Bjorn,Lloyd,Omarion na wengine wengi.Drake akiweza kumake headline kwenye Billboard Hot 100 kupitia ngoma kama “Best I Ever Had”, single ya “So Far Gone”.

Katika maisha  yake binafsi Drake aliwezakutoka na wareombo kama mwandisii wa nyimbo Keshia Chante. Baada ya kutalakian aliweza kuachia ngoma iliyojulikana kama”Deceiving”. Mwaka 2009 kulitokea uvumi kuwa Drake anatoka na Diva wa muziki ambaye alikuwa kwa kipindui hiko anatoka na Chris Brown mwanadada huyo ni Rihanna.

Drake ameweza kushinda tuzo tatu za BET,pia ameweza kuhusishwa kwenye tuzo nyingine nyingi kama American Music Awards na BET kuanzia mwaka 2014 mpaka mwaka 2015.

 
Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *