Inspiration

hizi ndiyo kanuni kumi za mafanikio kutoka kwa Rapper Nikki wa Pili

on

 

Sitaki kazi ni nyimbo yake ambayo ilimfanya waziri wa ajira na vijana mwaka 2015 azungumzie hiyo nyimbo, anatokea katika kundi la Weusi anakubalika sana kwa mistari mikali katika nyimbo zake amehitimu Masters ya accountant mwaka 2013 na sasa yupo katika masomo ya PhD na hizi apa ndiyo kanuni kumi za mafanikio kutoka kwake;

1. Tengeneza Bidhaa inayowasiliana na mteja

2. Kusoma ni kuwa na maarifa ili ujiajiri au uajiriwe.

3. Jijenge katika kitu ambacho unakifanya.

4. Tamani kuwa bora na siyo kuwa maarufu.

5. Kujifunza ni elimu ya mtaa kitu muhimu sana na siyo kwenda shule.

6. kukaaa siyo suluhisho la tatizo lolote.

7. Jali muda; usipoteze muda kwa sababu ukipoteza mwaka mmja huwezi kufika unapostaili kufika mwaka ujao.

8. Vutia watu; katika kazi yako tafuta kupata mashabiki wengi, hakikisha fun base yako inakuwa kila siku na kuwa kubwa.

9. Tangaza bidhaa yako.

10. Kuwa mwaminifu; fanya biashara au vitu ambavyo ni rasmi.

Kanuni hizi zimeandaliwa kwa kusikiliza mahojiano mbalimbali ya msanii huyu hasa katika kipindi cha The avenue mawazohuru na Ayo tv.

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *