Uncategorized

HIVI NDIVYO SIGARA INAHARIBU MAPAFU

By  | 


Asilimia 80 ya wagojwa wa saratani ya mapafu ni watumiaji wa Sigara

 Sigara inakemikali ambazo haziendani na mfumo wa kuchuja na kusafisha hewa pale inapofika ndani ya mapafu. Husababisha kubudhi mapafu hivyo kuzalisha sana ute mwingi ndani ya mapafu ndio mtu anaanza kukohoa sana kitaalamu huitwa chronic bronchitis kisha sigara husababisha vinyweleo vilivyopo ndani ya mapafu vinavyoitwa cilia ambavyo kupooza hivyo kushindwa kuondoa uchafu na kemikali zozote zinazoingia kwenye mapafu la hewa wakati unavuta hewa, Hivyo kusababisha kemikali mbalimbali na uchafu mwingi kujikusanya kwenye mapafu. Kuendelea kuvuta husababisha Asthma na mapafu kushindwa kupeleka oxygen kwenye damu. kumbuka mapafu hayarudishiki.

Mtokambali 728x90

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

0