Cellebs

Historia ya Zari “The bosslady”

on

 

Amezaliwa tarehe 23 mwenzi wa 9 mwaka 1980 katika ukanda wa Africa mashariki eneo la Jinja nchini Uganda na kusoma shule ya msingi huko huko baaada ya hapo alifaulu na kusoma Jinja Girls high school kisha akahitimu na kuhamia Kampala kwa ajili ya kuendelea kutengeneza na kupambana na mikakati ya kufikia malengo yake ya maisha kisha Alihamia London Uingereza na kusomea diploma ya cosmetology (  maswala ya vipodozi)

Alianza maswala ya muziki akiwa shule ya msingi kwa kuimba katika mashindano mbalimbali ambayo  yalikuwa yakiandaliwa na shule aliyokuwa akisoma pia alishiriki katika mashindano kuigiza na kuimba katika jamii ambayo yameandaliwa na shule yao na alifanikiwa kushinda muigizaji wa kwanza kwa miaka miwili katika mashindano hayo, wazazi wake na marafiki zake walimsaidia na mwaka 2007 alitoa nyimbo yake ya kwanza in ayoitwa oliwange na kutoa albamu ya kwanza ambayo iliweza kushindanishwa katika tuzo mbalimbali Africa kama African channel Awards kwenye video bora Africa Mashariki, na mwaka 2009 alishanda tuzo ya Diva katika Diaspora. pia mwaka 2008 ameshinda tuzo za chaneel O kama video bora ya Africa Mashariki. Anamiliki maduka ya vipodozi katika nchi ya Africa Mashariki.

Zari aliachana na mme wake wa ndoa kutoka  south Africa miaka 3 iliyopita na hakukaa muda mrefu alianza mahusiano ya kimapenzi na msanii wa bongo fleva Diamond Platnumz na kupata naye watoto wawili mmja wa kike na mwingine wa kiume kuachilia mbali na huyo mtoto Zari anawatoto watutu.

Mwaka 2017 Zari alipata msiba baada ya mume wake wa zamani Ivan The Don kuiaga dunia Zari akielezwa kilichomuua mume wake wa zammani alisema kwamba alipata ugonwa wa stroke ambao uliadhiri ubongo wake baada ya mshipa wa damu kupasuka na kuanza kumwaga damu katika ubongo,

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *