Cellebs

Historia ya Stand up comedy kutoka Uganda Anne Kansiime

on

 

Amezaliwa katika kijiji cha Kiparo Magharibi mwa Uganda katika wilaya Kabale baba yake ni mwajiriwa ambaye ameshastaafu  na mama yake ni mama wa nyumbani amezaliwa tarehe 13 mwenzi wa nne mwaka 1987(29). Amesoma shule ya msingi  Kabale elimu ya sekondari kwa ujumla amepata katika shule ya Bweranganyi Girls senior secondary school baada ya hapo alienda chuo kikuu cha  Makerere na kutunikiwa shahada ya sanaa na Sayansi ya jamii.


Mwaka 2007 alimaliza chuo kikuu na kupata nafasi ya kufanya stand up comedy kwa mara ya kwanza katika Kampla theater na baadaye kujiunga na wachekeshaji katika Kampala theater ilikuwa ikionyeshwa katika NTV kama kipindi kinachoitwa Barbed wire TV.

Mwaka 2014 alianza kuweka video zake za vichekesho katika channel yake ya You Tube na kupokea majibu na ushauri mzuri kwa watu mbalimbali kisha Citizen Tv kutoka Kenya ilianzisha kipindi ambacho kilimfanya ajulikane sana nacho kilikwenda kwa jina la Don’t mess withKansiime mwenzi wa 11 mwaka 2014 alitokea katika kipindi cha Focus on Africa cha BBC pia You Tube Channel yake ilikuwa imeangaliwa na watu zaidi ya milioni 15 aliweza kufanya show katika miji kama  Blantyre, Gaborone, Kigali, Kuala Lumpur, Lagos, Lilongwe, London, Lusaka and Harare

TUZO ALIZOCHUKUA

  • Rising Star – Comedian of the Year 2015
  • African Oscar Award for favorite comedian 2015
  • Nollywood & African People’s Choice Award for favorite comedian 2015
  • YouTube silver play button 2015
  • AIRTEL Women of Substance Awards 2014
  • BEFFTA 2013 (Best Comedian) Winner.
  • Lagos International Festival 2013 (Best Actress) Winner.
  • Social Media Awards (Favorite Celebrity) winner
  • African Social Awards Malaysia (ASAM) – 2013

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *