Cellebs

Historia ya Rick Ross ( The biggest Boss )

on

 

William Leonard Robert II ni mkristu amezaliwa huko Mississipi tarehe 28 mwenzi wa kwanza mwaka 1976 ana umri wa miaka 40. kisha kukulia katika jimbo la Florida na kusoma katika shule ya Miami Carol Senior High school kisha alijiunga na chuo kikuu cha Albany state baada ya kumiliza chuo alifanya kazi kwa muda wa mienzi 18 kama Afisa Magereza kutoka mwaka 1995 hadi 1997 ambapo aliacha kazi hiyo. ana watoto wawili mmja wa kike aitwa Toie Robert na mwingine wa kiume aitwaye Willium Robert.

(Kwa  historia za wasanii mbali mbali na makundi makubwa ya muziki Ulimwenguni tembelea>>>>>> mtokambali.com)

Alijiunga katika Suave House Record chini ya Teflon Da Don na kutoa nyimbo yake ya kwanza itakayoitwa “Aint shhh to discuss” katika miaka ya 2000s. Mwaka 2006 alitoa albamu yake ya kwanza Port of Miami na kufika nafasi ya juu katika chati ya Billboard top 200 na kuuza nakala 187,000 katika wiki ya kwanza. 2008 alitoa albumu ndogo trilla ya kuhiamasisha albamu yake ya kwanza  albamu hii ilikuwa na nyimbo kama Boss na speedin zilizoweza kufika nafasi 20 za juu katika chati ya Billbord top 100 songs.

2010  alitoa albamu yake ya Teflon Da Don iliyokuwa na nyimbo kama super high” aliyofanya na Neyo na Live fast die young iliyotengenezwa na Kanye West na kumshirikisha West. Albamu hii iliuza kiasi cha nakala 176,000 wiki ya kwanza ya kushika nafasi ya pili katika chati ya Billbord top 200 albamu. mwaka 2011 aliwasainisha Meek Mill na Wale katika record label yake ya May Bach Music pia mwanzoni mwa mwaka 2012 alitajwa kama Hottest Mc in the game. Mwaka 2012 alitoa mixtape yake ya Rich Forever pia MMG walitoa Mixtape yao ya pili self made vol 2 kisha akatoa albamu yake ya nne inayoitwa God Forgive, I Don’t ambayo ilifika namba moja katika chati ya Billboard top 200 na kufika nafazi kumi za juu katika chati za wingereza iliuza nakala 218,000. 2013 mpaka 2014 alitoa albamu zingine mbili Mastermind na Hood Billionare. 2015 alisaini Def Jam Record na 2016 alisaini Epic Record.

(Kwa  historia za wasanii mbali mbali na makundi makubwa ya m uziki Ulimwenguni tembelea>>>>>> mtokambali.com)

 

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *