Cellebs

Historia ya Rapper kutoka Marekani Desiigner

on

 

Sidney Royel Sebbly III amezaliwa tarehe 17 mwenzi wa 3 mwaka 1997(20) stegini anafaamika kama Desiigner ni mwandishi wa wa nyimbo pia ni Rapper ambeye makazi yake ni mtaa wa Brookylin katika jiji la New York huko Marekani, Alianza maswala ya mukizi katika kwaya ya  kanisani kisha, akiwa na miaka 14 alipigwa risasi aliendelea na maswala ya muziki alipofika high school aliachaacha na masomo na kuendelea na maswala ya muziki tuu.

 

Alitoa nyimbo yake ya kwanza inayoitwa “Zombie Walk” mwaka 2015 mwenzi wa 12 tarehe 3 iliyotengenezwa na producer anayeitwa Shill God,  mwenzi 12 tarehe 15 mwaka 2015 alitoa ngoma yake kali “Panda” katika mitandao ya You Tube ,SocialCloud na iTunes baada ya siku tano tuu haijatolewa katika vyombo vya habari mwenzi wa pili 2016 Diisigner alipata nafasi ya kuingia mkataba na record lebel kubwa duniani inayoitwa GOOD Music inayomilikiwa na Rapper  Kanye West chini ya Deaf Jam recording, baada ya kusaini katika label ya Kanye West alipata nafasi ya kushirikishwa katika nyimbo mbili za West ambazo ni Pt 2 na Frestyle zilizopo katika albamu yake ya saba ya The life of Pablo, alifanikiwa pia kutumbuiza katika tamasha la south by southwest ambalo limefanyika mwaka 2016. Mwezi wa 6  mwaka 2016 alitoa mixtape yake ya trap history month. Nyimbo yake ya panda ilifanikiwa kufika namba moja katika chati ya Billibord top 100


Tarehe 5 mwenzi wa 5 mwaka 2016 producer bora na maarufu Marekani Mike Dean ameseme yeye anatarajia kutengeneza albamu ya kwanza ya Diisigner ambayo itaitwa The life of Diisigner mwenzi wa sita 2016 alitumbuiza katika tamasha la XXL Magazine  ambaye huhusisha wasanii bora chipukizi, amefanikiwa kutumbuiza katika BET AWARDS mwaka 2016 pia ametoa mixtape yake ya pili inayoitwa NEW ENGLISH ambayo  inafanya vizuri katika mtandao wa Tidal. mwenzi wa saba 2016 msaniii maarufu wa Marekani anaifanya muziki aina ya pop Demi Lavato alimwomba Disiigner atumuize katika tamasha lake.

(Kwa  historia za wasanii mbali mbali na makundi makubwa ya m uziki Ulimwenguni tembelea>>>>>> mtokambali.com)

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *