Cellebs

Mfahamu muigizaji maarufu kutoka Africa Mashariki Lupita Nyong’o

on

Amezaliwa katika jiji la Mexico mwaka 1983 mwenzi wa tatu tarehe 1 anamiaka 33.
Baada ya wazazi wake wawili kuhamia huko na kuishi huko kwa muda wa miaka mitatu ni mtoto wa pili katika familia ya watoto sita wa mama Doroth na Baba Peter anyang’ nyong’o. Baba yake ni mwanasiasa na amewahi kuwa waziri wa mambo ya afya Kenya. Walirudi Kenya akiwa bado hana hata mwaka na baba yake alifundisha chuo kikuu cha Nairobi kama professor  baada ya muda walifukuzwa Kenya na kuhamia Mexico tena kwa sababu ya mambo ya kisiasa.

Baada ya hapo Lupita Nyong’o alirudishwa Mexico akiwa na miaka sita kwenda kusoma lugha ya kihispania, Familia yao ilikuwa ya kupenda sana sana hivyo alivyoanza kusoma katika shule ya Rusinga international huko Kenya na alianza kuigiza katika maigizo mbalimbali huko shule, Akiwa na miaka 14 alianza kuigiza na wasanii nguli katika nchi ya Kenya kama Julieth katika filamu ya Julieth na Romeo ilitengenezewa Nairobi chini ya production ya Phoenix players.Mwaka 2001 alimaliza masomo yake ya chuo Kenya chuo cha St.mary school na kwenda Marekani kwa masoma akiwa Marekani alifanya filamu ya On The Razzle and There Goes The Bride. ni filamu ambayo alifanya pamoja na Wamarekani Ophrah Winfrey na Whoopi Goldberg.

Hizi ndizo filamu alizofanya

mwaka jina alicheza kama nani Mwongozaji ukubwa
2008 East River F Marc Grey Short film
2013 12 Years a Slave Patsey Steve McQueen
2014 Non-Stop Gwen Lloyd Jaume Collet-Serra
2015 Star Wars: The Force Awakens Maz Kanata J.J. Abrams Motion capture performance
2016 The Jungle Book Raksha Jon Favreau Voice
2016 Queen of Katwe Harriet Mutesi Mira Nair Completed
2017 Star Wars: Episode VIII Maz Kanata Rian Johnson Filming

LICHA YA kuwa muigizaji mwanadada huyu pia ni mtayarishaji na mwongozaji wa filamu na amewaka kuwa mtayarishaji katika filamu tatu. na kuwa mwongozaji katika filamu mbili

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *