Cellebs

HISTORIA YA MTANZANIA HASHEEM THABIT

on

 

Ni mtanzania ambaye anacheza katika ligi ya kikapu nchini marekani ya NBA
Amezaliwa tarehe 16 mwenzi wa 7 mwaka 1987 ni mtoto wa Rukia Manka na Thabit Manka, ana dada yake aitwaye Sham na kaka yake aitwaye Akbar.  Alianza kucheza mpira wa kikapu akiwa na miaka 15  baada ya kuona mashindano mbali mbali katika jiji la Dar es salam hivyo hamasa ya kucheza mchezo huo ikamwingia.

Baada ya hapo alienda Marekani na kupitia vyuo vifuatavyo;

  • 2006-2008 alicheza Connectact Husckers
alisajiliwa katika timu zifuatazo;
  • 2009-2011 alicheza katika timu ya Memphis Grizzlies
  • 2012 march alicheza katika timu ya Portland Blazzers
  • 2012 july alicheza katika timu ya Oklahama City
  • 2014 august alicheza timu ya Philadelphia
  • 2014 november alicheza timu ya Grand Rapids Drive ambayo yupo huko hadi sasa.
Tuzo alizopata;
  • NBA -D-league All defence third team
  • NABC defensive player of year
  • Big East co-player of year

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *