Cellebs

Mfahamu mwanadada Diva Loveness Love

on

Ametokea katika familiya ya mpira ni mshabiki wa Yanga pia anapenda kufanya biashara hakuwahi kufikiria kuwa mtangazaji lakini Salama yeye ndiye aliyekuwa roll modal wake baada ya marafiki zake kumwambia anaweza kuwa kama salama, Yeye ni mtoto wa nje pia baba yake amemjali sana toka mtoto hadi sasa pia anasema watoto wa nje malinzi anawengi siyo yeye peke yake.

Anaitwa loveness baada ya kupewa jina Diva na Adam mchomvu aliamua kubadilisha passport zake na kujiita Diva malinzi, baba ya ni Jamali Malinzi anasema kuhusu swala la yeye kubana sauti Ruben Ndege alimwambia kwamba sauti yake haifai kuwa mtangazaji. Akiwa Clouds alikuwa anafanya kazi kama marking siku moja akamuomba Gadna na kufanya tangazo lake la kwanza Amercan mbaga. Kusaga alimkubali sana na kumuambia aendelee kufanya.

Wengine wlimwambia aongee kama Vivian Ntilia lakini yeye alikataa pia Yeye na Ruben wapo pouwa hata kama alisema hivyo pia aliwahi kutangaza Power breakfast lakini wamtoa kwa sababu ya kuonekana sauti yake inafanya wanaume wanawaza mengine. pia wanawake wengi huwakataza wanaume wao wa ndoa kutomsikiliza kwa sababu ya attraction ya sauti yake. Aliyefanya mpaka wafarakane na Petty Man kama marafiki ni familia ya Diamond kwa kutumia msichana ili kumu attack Diva

Alikutana na PREZZO studio alivyomwambia hivyo baba yake alikuwa hamtaki kabisa huyo jamaa na Diva amechora tatoo yake lakini hakumalizia kwa sababu alijua mahusiano yataisha, pia alichompendea ni kwamba ni gantleman mzuri, wengine aliyotembea nao ni Mo Racka na Gk.

Katika hao watu mtu aliyemkubali sana ni Mo Racka ambaye alimdisappoint sana kwa kufanya vitu vibaya sana hadi kutembea na rafiki yake. kwa sasa yeye ameamua kutokufanya publicty ya mapanzi yake,  wasichana wengi hawampendi lakini yeye hanajali hicho.

Siku moja alikuwa studio kupromote show yake aligombana na Diamond baada ya Diamond  kumprovoke katika hiyo show baada ya kuongea neno baya pia anasema anamuona Diamond anatumia wanawake ili kupata kiki baada ya hilo alimshusha hadhi. kabla ya hapo Diamond na yeye walikuwa marafiki sana lakini shida yake anapenda kuchagua upande wa kushangilia lakini Diva anasema hawezi kufanya ivyo.

Mwaka 2016 ameanzisha mahusiano ya kimapenzi na msanii ambaye anachipukia kwa kasi sana katika muziki wa Bongo Fleva Heri Muziki.

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *