Cellebs

MFAHAMU MSANII MWANADADA LAYLA

on

Amezaliwa mwaka 1995 ni mtoto wa 3 katika familia yao amekulia Mwanza hii ni kwa sababu baba yake ambaye anaasili ya kiarabu anafanya shughuli za kibiashara huko Mwanza. Mama mzazi anaishi Mbezi jijini Dar es salam. Elimu yake ya sekondari ameipatia Mwanza katika Shule ya Sekondari Mwetesori kisha Lugha ya kifaransa ngazi ya cheti akaacha na kwenda kusomea Kijerumani katika chuo cha Boetic Institute.
Kimuziki ameanza kufahamika kwa kuanza kupost video akiimba nyimbo za wasanii wengine na mastaa wengi walimpenda na kuanza kumfollow. Aliwahi kurekodi lakini hakuwahi kutoa nyimbo officially kipindi hicho alirekodia kwa Milliani. Wimbo wake wa The voice fairly alioufanya chini ya producer Maneke. Video ya ngoma hiyo ameifanyia Arusha chini ya Nisher Entertainment. kwa sasa amemaliza diploma yake ila ameweka pumziko ili afanye muziki kwa asilimia kubwa kisha ataenda kusoma degree.
Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *