Cellebs

HISTORIA YA MSANII MWANADADA DELLA

on

Asili yake ni kisiwi Kenya karibu na ziwa Victoria.Amezaliwa Nairobi baada ya wazazi wake huhamia Nairobi katika chuo kikuuu, Amesoma degree ya texture yaani kuchora ramani za majengo  katika chuo kikuuu cha Kenyata akiwa chuoni alikutana na msanii Tickehi ndio akaanza kufanya cover za nyimbo za wasanii mbalimbali baadaye alimaliza chuo na hakupenda kuajiriwa na amewahi kuajiriwa ila alifanya kazi wiki mbili tu kisha akaacha kazi

2008 ndiyo alianza muziki rasmi akiimba katika back vocal katika nyimbo mbalimbali 2009 alitoa albamu yake ya kwanza inayoitwa “paukwa” ikiwa na maana ya mwanzo wa safari, Nyimbo ya hello walifanya kiutani lakini ilipendwa sana kisha wakaitafutia leseni ili kuuzwa kama caller tuners na kuanza kuiuza katika mdundo.com, safaricom,waber.

Della anaona biashara ya cover ni kubwa sana hivyo basi watu watu wengi huwa wanafanya cover nyingi na kwenda Marekani kwa ajili ya perfomance Cover ya hello imemfanya kupata collabo katika nchi za Nigeria, Uganda na pia hapa Tanzania anasema kwamba Hello imeuzika sana kama caller tune katika makampuni mbalimbali.

Mpenzi msomaji wa blog hii, kumbuka uonapo tangazo la bidhaa yeyoye hapa kwetu na ukanunua bidhaa hiyo, na mimi nitakua nmepewa kitu kidogo, hivyo utakua umenisidia, Ubarikiwe tena na tena

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *