Cellebs

HISTORIA YA MSANII MWANADADA AVRIL

on

 

Amezaliwa Nakuni familia ya kawaida tu mama alikuwa mfanyabiashara za nguo baba alikuwa ni fundi makenika. wamezaliwa watatu  katika familia yao. Alianza kuimba akiwa Nakuru kipindi hicho Amani na Wahuu waikuwa juu kimuziki sana. Alikutana na  Producer Anlopangoma wakaenda Nairobi kwenda kufanya kazi ya kujitolea katika sehemu ya Turkana.katika hizo shughuli za kujitolea ndipo alikutana na Dulopa Ngoma wa Ogopa DJ na kufanya naye ngoma mbalimbali pia akaingia mkataba wa kusimamiwa na Ogopa DJ.

Chuo kikuuu alisoma Product design inahusika na mambo ya sanaa na ubunifu hii ni kwasababu Avir alipenda sana sanaa. Alikutana na msanii AY  na kufanya naye project moja katika nyimbo ya AY kufanya chorus baada ya apo alichukuliwa na AY hadi studio za Hammy B kisha baadaye alitoa nyimbo ya “Mama” ambayo ilitengenezwa na producer Lucas kutoka Ogopa kisha akatoa Chokoza nyimbo ambayo imefanya vizuri sana.

mwaka 2013 mkataba wake na Ogopa uliisha kisha akaanza kufanya nyimbo kama solo artist ni msanii wa filamu ameigiza katika tamthilia ya sumu ya penzi. kwa sasa yupo katika managment ya Kaka Empire chini ya Rabbiti.
kimapenzi yupo na kijana wa south Afrika tayari washatambulishana nyumbani.

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *