Cellebs

HISTORIA YA MSANII 2FACE IDIBIA

on

Inoccent Ujah Idibia (amezaliwa 18 september 1979 huko Jos,jimbo la Plateau).Anafahamika kama 2Face Idibia.Ni mwanamuziki wa ngoma za Hip Hop kutoka Nigeria na ni mtunzi.Alikuwa mwanachama wa kundi la muziki aina ya R&B/Hip Hop kilichoitwa Plantashun Boyz.Sasa hivi ana uhusiano wa dhati na muigizaji,Makosi Musambasi

Idibia ametoka kwenye eneo la kiserikali la Okpokwu na kabila la Idoma katika sehemu ya kusini jimbo la Benue katika Nigeria ya kati yeye alihudhuria shule ya upili ya Moun
t Saint Gabriel katika makurdi,jimbo la Benue alisoma kwa ufupi katika taasisi ya usimamizi & technology IMT Enugu moja ya taasisi kubwa ya elimu ambao alifanya kozi ya diploma ya taifa katika usimamizi wa biashara hata hivyo,hakumaliza lakini aliimarisha ujuzi wake katika muziki kwani alicheza katika maonyesho na sherehe zilizo andaliwa na IMT na baadhi ya shule nyangine kama chuo kikuu cha Enugu cha kisayansi technology Enugu.(ESUT) na chuo kikuu cha Nigeria kampasi ya Enugu(UNC).

Mafanikio yake makuu katika IMT yaliyokuwa katika utunzi wa wimbo wa kipindi cha redio maarufu iitwayo GB Fan Club katika Enugu State broadcasting service (ESBS) mwaka 1996 baadaye alitumia Lagos na alijiunga na mwenzake kutoka IMT aitwaye Back Face kuunda Plantashun Boyz alianza kujiita “2Face mwaka 1996 jinsi yangu inahusu tu nje na ndani,wakati mnionapo ninyi huona nje lakini wakati mnapotaka kunijua mtaweza kuona ndani”alisema katika mahojiano na BBC.

Two baba kama yeye anavyoitwa nchini Nigeria,ni ishara ya wale wanawake wote ambao amewapa mimba, hivi sasa yeye anashindana na msanii wa America Lil Wayne kuona ni nani aliye na idadi ya watoto wengi kupitia wanawake tofautitofauti katika maisha yao Two baba mimi nakutamba ooh pet me.

wimbo wake alioshinda tuzo uitwao African Queen ulitumika kama wimbo wa filamu ya 2006 Phatgiriz hii ilifanya naye hata kutambulika zaidi kitaifa.
Theplantashun Boyz walikutana kwa muda mfupi mwaka 2007 kurekodi albam ambayo waliipa jina la Plan B.
Yeye pia alitoa albam mwaka 2008 ambayo ina nyimbo kama Enter the place ambayo ilikuwa imeandikwa na Churks haikufanikiwa ilifanya vizuri katika baadhi ya chati cd ni ya Promo inasemekana kuwa ilikabaliwa na matatizo ya usambazaji na mauzo,huenda hakutambulika katika baadhi ya maeneo yanayo sababisha mabadiliko ya tarehe ya albam kutokea mwaka 2008 hadi2009 badala ya kutolewa tarehe iliyopendekezwa mwaka 2007.

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *