Cellebs

HISTORIA YA LIONEL MESSI

on

 

Lionel Andres Messi amezaliwa tarehe 24 mwenzi wa 6 mwaka 1987 ni mtoto wa tatu wa George Messi na Cecilian Cuccitini. Messi anaasili ya kiitaliano na kihispania.

Akiwa na miaka 4 alikuwa professional player alijiunga katika timu  ya Grahdoli ambayo kocha alikuwa baba yake. Akiwa na miaka 11 bibi yake alifariki na ndipo alianza kushangilia kwa goli kwa kuangalia juu na kunyoosha videle hewani kwa ishara ya kumkumbuka bibi yake.

Akiwa na miaka 6 alijinga na Newells sport club na kuwafungia magoli 500, Messi aligundulika ana upungufu wa homoni ya ukuaji akiwa na miaka 10 baba yake alimtibu kwa gharama ya dola 1000 kwa mwenzi. Mwaka 2000 familia yake ilimchukua na kumpeeka Neo camp kwa ajili ya kufanya majaribio. Director wa Barcelona alimkubali Messi na ilipofika mwenzi wa 12 mwaka 2000 alisainiwa Barcelona.

Baada ya kwenda Barcelona familia yake ilihamia karibu na Neo camp ili kumpa ukaribu mtoto wao. Hii ni kwa sababu Hispania kulikuwa na ubaguzi wa raia wa kigeni. Mwaka 2003 mpaka 2005 alianza kucheza kama mchezaji wa akiba katika kikosi cha kwanza cha Barcelona, Mwaka 2005 mpaka 2008 akaanza kupewa nafasi katika kikosi cha kwanza cha Barcelona na kuanza rasmi kikosi cha kwanza,

Akiwa Barcelona amepata misimu mitatu ya mafanikio makubwa sana na kushinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia mara 5, ni mfungaji bora wa Barcelona wa muda wote.

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *