Cellebs

Historia ya Kundi la Muziki kutoka Kenya Sauti Soul

on

Kutoka wakiwa wadogo wanamukizi Ben-Aime Baraza, Wills Austin Chimano, Savara Madigi na Polycarp Otieno  walikuwa wakipenda kufanya muziki, Jamii yao ilikuwa ikiona wasanii hawa wanafanya muziki ambao hauendani na tamaduni zao lakini wao kama Sauti Soul walijitambua na kufanya zaki kwa bidii kwa kutokataa tamaa  hatimaye mafanikio ya muziki wao walianza kuyaona.

Kundi hili lilizaliwa mwaka 2005 wakati wakisoma katika chuoni katika Jiji la Nairobi.Mwaka 2008 walitoa albamu yao inayoitwa “mwanzo” kisha 2011 walitoa tena albamu yao nyingine inayoitwa “Sol filosofia” hizi ambamu mbili ziliwafanya wanamuziki hawa kuwa maarufu katika nchi ya Kenya pia nje ya mipaka ya nchi ya Kenya. Walianza kupata shows nyingi katika mabara ya Afrika, Ulaya na Marekani. Mwaka 2012 walishirikiana na Rapper wa Afrika kusini anayeitwa Spoek Mathabo katika project yao ya EP ambayo iliwapa mafanikio makubwa sana na kuongeza mashabiki katika nyanja ya kimataifa.

HIZI NDIZO PERFOMANCE KUBWA WALIZOZIFANYA

2010 Tour yao ya ulaya na kualikwa katika kitua kimoja cha television Sweeden.

2011 Walitumbuiza katika south by southwest music Festival huko Marekani

2012

  •  Festival sur le Niger huko nchini Mali.
  • Czech Republican music award
  • Waliingia mkataba na Safaricom kuimba katika maonyesho yao
  •  Walitumbuiza katika mashindano ya Big brother Africa

2013

  •  walitumbuiza katika Choice awards Nigeria
  • Walitumbuiza katika Blankets and Wine 50 Festival huko Malawi
  • Walitumbiiza katika Tamasha la boombaataa festival huko kenya.
2014
  • Mtv music awards walitumbiza
  • Zanzibar International film festival
  • Nether-land Eindohoven

wameshiriki tuzo 36 mpaka sasa na wameshinda tuzo 24

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *