Cellebs

HISTORIA YA KUNDI LA MUZIKI LA P SQUIRE

on

Peter na Paul wote watoto wa Okoye wamesoma katika shule ya St. Marumba secondary school ambayo ni shule ta kikatoliki ipo Josh huko Nigeria.Baada ya hapo walianza shule ya muziki walitengeneza kundi linaloitwa Smooth Criminal mnamo mwaka 1997 ambalo lilikuwa na kazi ya kucheza break dance nyimbo za michiel jackson.

Mwaka 1999 walirudi shule tena na kusoma muziki, pia walijiunga na chuo kikuu cha Abuja na kusoma maswala ya biashara ngazi ya stashahada, hapo ndipo kundi lao lilivunjika. Hivyo waliamua kutengeneza kundi lao linaloitwa Double P kisha baadaye waliamua kujiita P Squire na likawa chini ya uongozi wa Bayo Odusami ambayo ni CEO wa Adrot Nigeria Limited.

mwaka 2001 walishinda katika shindano la Grab Da Mc na kudhaminiwa na Benson na Hedges katika albamu yao ya kwanza inayoitwa “last night” ambayo ilitolewa chini ya Timbukz music label walichaguliwa kushindana katika kora awards mwaka 2003.

2005 walitoa albamu yao ya pili inayoitwa Get squired chini ya studio yao wenyewe Squired Record japo kuwa bado walikuwa katika management ya Howie T  nyimbo yao iliweze kufika namba moja katika chat za MTV BASE. 2007 walitoa albamu yao ya tatu Game over ilipata mauzo makubwa sana duniani kote, zaidi ya nakala milioni 8 zilinunuliwa.

2009 walitoa albamu yao ya tatu Danger, 2010 walipata tuzo ya wasanii bora wa mwaka kora awards, 2014 walitoa albamu yao ya nne Double Double, 2016

wameshiriki tuzo 18 na wameshinda tuzo 17 kati ya 18 walizoshiriki

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *