Cellebs

Historia ya Kcee

on

Kingsley Chinweike Okonkwo amezaliwa tarehe 18 mwenzi wa kumi mwaka 1979 huko Nigeria, baba yake ni DJ amesoma elimu yake ya sekondari katika shule ya Isolo na elimu yake ya chuo kikuu kaipata katika chuo kikuu cha Mzukka na kupata shahada yake ya Theater Arts. hakujua kama atakuwa msanii kwani akiwa shuleni alipenda sana kucheza mpira na alitamani kuma mchezaji mpira kipindi hicho.

Mambo  ya muziki alianza mwaka 2002 akiwa na miaka 12 baada ya kushinda shindano la Star Quest Talent Shaw wakiwa na rafiki yake Presh aliyekutana naye kwaya waliweza kugtengeza kundi la muziki na kufanikiwa kushinda shindano hilo, Kcee alifanikiwa kusainiwa katika record kubwa Nigeria inayoitwa Kennis Music ilipofika mwaka 2006 yeye pamoja na swahiba wake Presh walianzisha record label yao inayoitwa KP Record na kutoa nyimbo zao mbalimbali hii ni baada ya kutoka Kennis Music pia 2008 walibadilisha kwenda Blingz record walishirikiana na  Graftion record na kutoa kibao kilichowika sana “shokori bobo”

Baada ya muda mrefu wa kufanya kazi na kaka yake wa damu E money na kutoa ngoma zaidi ya nane pia ngoma kali kama Limpopo  mwaka 2013 alitoa albamu yake ya kwanza inayoitwa take over na kufanikiwa kushinda tuzo za kora, channel O na Hiphop huko Nigeria.

http://www.takemetonaija.com

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *