Cellebs

Mfahamu dancer wa kitanzania Wabogojo

on

Ni mtanzania baba ni mzaramo na mama ni mnyaturu amewahi Kufanya kazi na Mr. Nicealikutana naye  Dar es salam akiwa anafanya kazi katika kampuni ya promotion ndipo alikutana na Mr Nice. Kisha alialikwa katika sherehe moja ambayo alicheza nyimbo ya kidali poo mpaka Mr Nice alimkubali na kuamua kufanya naye kazi.

Baada ya hapo alijiona maarufu lakini hana hela aliamua kumtafuta mtu ambaye atamfundisha namna ya kucheza kisasa zaidi. Alikutana na mtu mmja ambaye alikuwa akifundisha watu kucheza ni raia wa kigeni kwa bahati mbaya alifariki ndipo jamaa mmja aitwaye Christion Ludo aliamuona katika show kwenye TV na kuamua kumchukua.

Alichukuliwa na kupelekwa Ujerumani kikazi na anadai alikuwa akilipwa pesa nzuri tuu, mkataba uliisha kisha bosi alimtafutia kazi nyingine Itally  baada ya  hapo alikwenda tena Belgium kisha China ambako hufanya shughuli zake za live shows hadi sasa.

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *