Cellebs

Historia na harakati za mwanamitindo Miriam Odemba

on

Kwa sasa Odemba anaishi Paris  kwa sasa anamwaka akiwa akifanya kazi zake za umodo na mama wa mtoto mmja wa kike ambaye anamiaka mitano sasa. Alizaa na mzungu wa hukohuko Paris alikutana na Baba mtoto wake katika party moja huko China. Alimleta Tanzania wakatambea Manyara,Serengeti, Zanzibar na pia kwa sababu alikuwa hajawahi kutembea Kisiwa cha Reunion walienda kutembea huko.

alikutana naye 2007 Baada ya mwenzi alienda kutambulishwa Paris kwa wazazi wa mme wake na kutembezwa huko, anasema mapenzi yao yalienda haraka sana Pia mapenzi yao was very Romantic alikuwa akivalishwa viatu na mwanaume wake pale alipokuwa akijifunza kuteleza kwenye barafu.

Anasema kwamba modelling ni kazi ngumu unatakiwa kuwa very clever and very intelligent pia anasema kwamba kwa sasa anasema kwa sasa anajiona Mirriam Odemba amekuwa vizuri tofauti na zamani, Anasema pia Modelling unatakiwa uwe perfect, you have to  be educated na ujiamini sana.

Eriack Paul na Flaviani  Matata ambao wamezaliwa kuwa na stracture ya modelling kwa mwanzo alipokuwa anaanza alikuwa hana right manager na pia alikuwa hana marafiki wazuri ambao wangeweza kumshauri vizuri “When you sorround by good people always you will be success”

Anasema alikuwa anatoa hela zake mwenyewe mwaka 2013 alialikwa na Eddy kavishe na aliweka nia ya kuonyesha what is Tanzania is and Who is Mirriam Odemba pia anasema kwamba hakuopa na aliposikia Kanye West alikuwepo ili hakuogopa pia anasema bila kujituma na kujionyesha kwa wewe mi mzuri pia alifanikiwa kucheza Kanye West kwa Kanye mwenyewe kumuona na kumuomba acheze naye.

Mfano Naomi Cambel anamefanikiwa na sasa anamiaka 45 but ni mzuri na huwa hawezi kujitoa bila ya kulipwa jiamini pia jikubali, baada ya kucheza na Kanye West alikutana naye tena hotelini akiwa na mtoto wake, Pia anasema kwamba hana kashfa hata moja katika nchi ya Tanzania

Asili ya Odemba ni jina kubwa babu yake alikuwa chief na alikuwa akimshauri Nyerere katika enzi ya yake pia anasema hawezi kufanya Ujinga kwa sababu ndugu zake wote ni wasomi wachungaji kwa hiyo anaogopa kuchezea jina la Odemba hasa hasa familia yake. Pia ataiabisha jamii yake.

Kuhusu swala la kunywa pombe kwa mwanamke Odemba anasema ameanza kunywa pombe akiwa na miaka 28 pia pombe inaweza kukuharibia na ukinywa zaidi inakuabisha na yeye mwenyewe anakunywa pombe lakini anajicontrol. Anasema vijana wengi wanakunywa pombe hata kwenye sexual intercouse hawatumii kinga. Anasema ili kuweza kufika kimataifa unatakiwa uwe msikivu pia focus kwenye diet na mazoezi pia cheka na kila mtu

 Anasema hapo alipo ni kwamba hana tamaa hana majivuno pia hana wivu na mtu katika maisha yake ndiyo maana anafanikiwa katika maisha yake, anasema pia mabosi walikuwa wakimuonea kinyongo hata muda mwingine hawakumsupport katika maisha,

Akiongelea support ya watanzania wengine anafikiria kujenga shule ya kuweza kuwasaidia wadada wanaotaka kuwa modelling na kwa wale hawana sifa za kuwa modelling atawapa elimu kwa sababu ni ngao ya msingi ya maisha ya binadamu, anasema anataka kufanya vazi la kimasai kuwa kama vazi la taifa la Tanzania na katika matamasha makubwa Paris huwa anavaa shanga za kimasai na huwa zinamfanya awe maarufu sana Ufaransa.

 

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *