Cellebs

HISTORIA NA HARAKATI ZA DJ CHOKA

on

 

Hugolin Martini a.k.a Dj Choka ni mchaga wa Marangu Baba yake anatoka Kilema na Mama anatoka Marangu. Asili ya jina la DJ Choka alipewa na Prof Jay wakati akifanya back vocal katika stage za Prof Jay. DJ Choka ni moja kati ya mtu ambaye amefanya wasanii wafanye kazi zao vizuri. Pia anasema wasanii ambao anefanya nao kazi Weusi na Roma sana sana Hiphop show ndizo anapenda sana.

Kuhusu swala la kumsaidia Lady Jay Dee wakati akiwa na matatizo na Clouds Fm alifanya hivyo kwa sababu ni rafiki yake pia mtu ambaye amemsaidia sana, kutokana na hilo DJ Choka alipata hasara pale alipokuwa anatengeneza Mega Mix lakini akipeleka Clouds fm zinapokelewa ila hazipigwi. CHOKA anasema kwamba kufanya kazi na wasanii na kupromote wasanii waonekane kwenye gemu.

Furaha yake ni kutoka na marafiki pia kucheza na mtoto wake. Social Media zote hapendi pia hajawahi kupost Mambo kuhusu maisha ya mastaa hii ni kwasababu maisha ya mtu siyo sehemu ya kazi. ¬†anashauri watu kwamba “Ishi vizuri na mtaa”

 

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *