Cellebs

HISTORIA YA MSANII MRISHO MPOTO

on

(Kwa  historia za wasanii mbali mbali na makundi makubwa ya m uziki Ulimwenguni tembelea>>>>>> mtokambali.com)


Mrisho Mpoto (amezaliwa tarehe 27 Oktoba1978) ni msanii wa muziki wa dansi, sanaa ya jukwaani (theatre performances), mwandishi wa vitabu vya mashairi na hadithi zenye mafunzo, msanii wa ngoma za asili kutoka nchini Tanzania. Anafahamika sana kwa jina lake la utani kama Mjomba au Mpoto. Pia, anafahamika kwa kuimba nyimbo kama vile Salam Zangu Mjomba, Nikipata Nauli, Adela, Chocheeni Kuni, Samahani Wangangu,Mtu Huru, Waite na Njoo Uichukue alizoimba na Banana Zorro, Ismail Kipira, Felly Kano, Nuruel, Linah Sanga, Ditto, Peter Msechu, Diamond Platnums.

Mrisho Mpoto ni mmoja kati ya waanzilishi wa kundi la muziki la Parapanda, baadae Mpoto Theatre.

(Kwa  historia za wasanii mbali mbali na makundi makubwa ya m uziki Ulimwenguni tembelea>>>>>> mtokambali.com)
Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *