Cellebs

Historia fupi ya msanii Jackiine Wolper

on

Ni muizaji, muongozaji wa filamu anampenda sana mama yake na pia kabla hajawa maarufu alikuwa akipenda kuvaa sana kiume(tom boy) ila taratibu alianza kuvaa mavazi ya kike. Anapenda kuwa na mwanaume ambaye ni mchapakazi na anayejua kutafuta pesa kwa sababu yeye anamini pesa ndiyo kila kitu.

Alizaliwa miaka 26 iliyopita huko MOSHI Kilimanjaro akiwa ni mtoto wa kwanza na msichana peke yake kati ya watoto wanne wa mzee Wolper.

Elimu yake ya msingi aliipatia katika shule ya msingi Mawenzi huko Kilimanjaro wakati Sekondari alipitia katika shule za St. Magreth, Ikenye Arusha na akaja kumalizia Masai huko Kenya.. na baadae akajishughulisha na biashara zake binafsi hatimae mtu ambae anaitwa Lucy Komba akagundua kipaji chake na ndio ikawa mwanzo wa kuingia kwenye filamu

(Kwa  historia za wasanii mbali mbali na makundi makubwa ya m uziki Ulimwenguni tembelea>>>>>> mtokambali.com)

( function() {
if (window.CHITIKA === undefined) { window.CHITIKA = { ‘units’ : [] }; };
var unit = {“calltype”:”async[2]”,”publisher”:”Njibahood”,”width”:300,”height”:250,”sid”:”Chitika Default”};
var placement_id = window.CHITIKA.units.length;
window.CHITIKA.units.push(unit);
document.write(‘

‘);
}());

 

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *