Cellebs

Historia ya Madam Rita

on

 Rita Paul-sen alizaliwa wilaya ya Karagwa katika mkoa wa Kagera Tanzania na alisoma katika nchi ya Uganda na baadaye huko Harare, alipata ujauzito akiwa kidato cha pili akiwa na miaka 14 hivyo kuitwa mama

ujauzito shuleni na hivyo kumfanya yeye aitwe mama. Ni mmiliki na mwazilishi  wa kampuni ya benchmark ambayo ni ya kwanza kutumia teknologia ya kidigitali katika media production.

Rita pia ni mmoja kati ya watu mdani ya tanzania kuanzisha modelling compay na kuifanya kibiashara zaidi. Kampuni yake ya benchmark imebaki kuwa moja kati ya kampuni chache ambazo zina ubora wa hali ya juu.

Mwaka 2007 alianzisha project inayoitwa Bongo star search ambayo kiukweli iliwainua sana vijana wa kitanzania ambao wana kipaji cha kuimba kupitia BSS aliweza kuanzisha nTanzania Mitindo HouseTMH) ambayo inashughulika na watoto yatima ambao wazazi wao wamekufa na VVU

Baada ya kupumzika kwa miaka 2 bila kuwepo kwa shindano la Bongo star search hivyo 2016 aliamua kujikita katika kipindi chake cha Rita Paulsen Show ambacho huonekana katika Televisheni ya Azam na mpaka sasa kimemletea mambo makubwa hivyo kuzidi kumuweka kwenye chati.

Mtokambali 728x90

Recommended for you

2 Comments

  1. Emmex

    April 16, 2017 at 10:55 am

    Please can we make a deal

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *