Health&Food

Hili ndilo tatizo linalosabisha Vifo vingi vya mama mjamzito au mtoto au wote kwa Pamoja

on

 

Kutoka damu sehemu za ukeni kabla au wakati wa kujifungua (Primary postpartum haemorrhaege)

Hiii husababishwa na vitu vifuatavyo;

 • Toni ya tumbo la kizazi maaana yake ni pale ambapo mwanamke anashinwa kusikia uchungu na kusababisha mishipa ya damu iliyopo kwenye kizazi kutoa damu hii ni baada ya kondo la nyuma la uzazi kuanza kujitoa kwenye kizazi.
 • Matatizo ya damu kushindwa kuganda kwa haraka ( coagulopathy )
 • Kondo la nyuma kubaki kwenye kizazi baada ya mtoto kutoka au mabonge ya damu iliyoganda kubaki kwenye kizazi hiii husababisha damu kuzidi kutoka kwenye kizazi.
 • kupata jeraha kwenye kizazi au shingo ya kizazi wakati wa kujifungua.
Dalili zake
 • Damu kutoka sehemu za ukeni bila kuisha.
 • kuzimia
 • kutokwa kwa damu zaidi ya lita moja (1000mls)
 • Mapigo ya moyo kwenda mbio
 • Presha kushuka.
 • viganja vya mkono kuonekana vyeupe zaidi (kukosa wekundu)
Matibabu
Unapoona dalili hizi kitu cha kwanza kama mgonjwa yupo nyumba muwahishe hospitai haraka sana.
 • Muuguzi onyesha ishara ya tahathari kwa kusema kwa nguvu PPH!!!!
 • angalia mgonjwa kama anapumua, koo la hewa lipo wazi pia msukumo wa damu upo sawa
 • Mlaze kitandan kwa kunyokaa
 • Mtafute mshipa kisha mtundikie drips.
 • kama amepoteza damu nyingi sana fanya vipowa vya kuangalia kundi la damu analo.
 • Mtundikie Damu.
 • weka oxygen kiasi 10 mpaka 15mls
 • mpime pressure na mapigo ya moyo kila baada ya nusu saa.
 • mchome dawa ya kuongeza uchongu kama Oxytocin na egometrine
Sources;http://patient.info/doctor/postpartum-haemorrhage
Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *