Cellebs

HII NDIYO MITIKASI NA HISTORIA YA MWANAMUZIKI WIZKID

on

 

 

Ana miaka 25 amezaliwa tarehe 16 mwenzi wa 7 mwaka 1990 jina lake kamili anaitwa Ayodeji Ibrahim Balogun. Mwaka 2001 akiwa na miaka 11 alitoa nyimbo saba katika albamu yake inayoitwa Lil Prinz .

Alitengeneza kikundi chake cha muziki kinachoitwa Glorious Five na marafiki wake wanne katika kanisa walilokuwa wakisali huko Nigeria. Baada ya miaka kadhaa wizkid alirekodi nyimbo yake ya kwanza akiwa kama solo artist nyimbo hiyo alishirikiana na OJB jazrell. Nyimbo hiyo ilipata chart sana katika mitaa yake ya nyumbani hadi ikifikia yeye kupata  bahati ya mtu kujitolea kumsaidia katika mziki wake.

BABA YAKE HAKUPENDA YEYE KUFANYA KAZI YA MUZIKI HIVYO WIZKID ALIFANYA KAZI KWA BIDII SANA ILI KUHAKIKISHA KWAMBA  ANAMFANYA BABA YAKE APATE UAMINIFU KATIKA MZIKI ANAOUFANYA.

Banky W. alikuwa rafiki yake hata kabla hajaanza kufanya muziki kama kazi. mwaka 2010 mpaka 2012 alitoa albamu inayoitwa SUPERSTAR ambayo ilikuwa ina nyimbo inayoitwa Holla at you boy ambayo ilifanya vizuri hadi kushindanishwa katika tuzo za CHANNEL O MUSIC AWARDS.

 

Mwaka 20012 mpaka 2014 alitoa albamu nyingine inayoitwa AYO ambayo aliwashirikisha mastaa kama Wale, Akon, Don Jazzy kabla hajaitoa hiyo albamu mwaka 2013 alitengeneza Mixtape ambayo aliwashirikisha wasanii kama Tinnie Tempa na Wale, 2 May 2013, Wizkid alianzisha  Starboy Entertainment na kutoa nyimbo inayoitwa jaiye jaiye na On top of your matter.

Mwaka 2015 alitoa nyimbo kamaa Ojueleba ambayo imefanya vizuri sana kiasi cha msanii DRAKE kuamua kutoa remix ya hiyo nyimbo na kupromote katika Radio na social media. Ametoa nyimbo na CHRISS BROWN inayokwenda kwa jina la AFRICAN BAD GIRL na alipafomu nyimbo hiyo pamoja na chriss brown katika nchi za DUBAI NA AFRICA KUSINI,

AMESHINDA TUZO 18 KATI YA 64 ALIZOSHINDANISHWA.

 

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *