LifeStyle

Yajue mambo ambayo mwanafunzi wa sasa yanamkwamisha katika ufaulu wa masomo yake

on

  • MITANDAO YA KIJAMII
kwa sasa mitandao mingi ya kuchati imeongezeka sana kuna facebook, twitter, instegram na wattssp sasa unakuta mwanafunzi anatumia mitandao yote. Anachart kiasi kwamba hata ukiwa darasani unakuta still anachat, kwenye discussion still mwanafunzi anachat, kula still anachat bado kwa hiyo unakuta asilimia kubwa yupo katika kuchat hana muda wa kupumzika.
  • KUIGANA
katika maisha ya sasa wanafunzi wanaigana sana mfano unakuta mtu anataka kusoma kama mwenzake anavyosoma, mwenzake akisoma lisaa limoja na yeye anataka soma hivyo hivyo bila kutambua kwamba kila mtu anauwezo wake binafsi kufikiri na kushika anachokisoma.
  • KUSHINDWA KUPANGILIA MUDA
hii ndio shida kubwa ya wanafunzi muda wa kula anasoma muda wa kucheza anasoma au muda wote anacheza kingine pia unakuta mtu anasoma muda wote akili inachoka kiasi kwamba hata anayosoma yanafuta mengine.
  • MAHUSIANO
hichi ni kitu pia ambacho kimewaathiri wanafunzi wengi kwa sababu muda mrefu unakuta mtu anatumia muda wake kuongea na mpenzi wake pia unakuta mtu akikorofisha na mpenzi wake anashindwa kufanya mambo mengi ya msingi kwa sababu akili yake bado haijakomaa ili kuweza kupokea na kupambana na maisha yake.
Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *