Uncategorized

HAPA KAMATIA ,HAPA LUPELA NDIO COLLABO INAYOKUJA

on

Akohokjiwa na repoter kutoka studio ya Millard Ayo Aika amesema kwamba kuna nyimbo ambayo wamepanga kuifanya kati yao kama Navy Kenzo na Alikiba. Anasema wazo hilo lilikuja pale wakiwa katika uzinduzi wa nyimbo ya kiba lupela kisha kiba alitoa hiyo idea wote wakasema ni sawa.

Awali Aika anasema aliwahi kufanya ngoma ma Alikiba lakini hawakumalizia kwa sababu ya yeye alisafiri kwenda Afrika kusini kwa ajili ya masomo.

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *