Entertainment

G nako amesema haya kuhusu tuhuma za kukopi idea za miziki za wasanii wengine

on

G nako Warawara The Kankakara Finest wa AR kutoka katika kampuni ya Weusi akihojiwa katika kipindi cha Enewz kinachorushwa na EATV amesema kwamba yeye hana desturi wala hajawahi kukopi nyimbo ya mtu kwa sababu yeye akiwa studio huwa anapenda kutumia hisia zake mwenyewe akiwa studio hapendi wala huwa asikilizi nyimbo yoyote ya msanii yeyote akiwa studio akirekodi.

Warawara ameamua kusema hayo baada ya kuhusishwa na tuhuma za kukopi baadhi ya vionjo katika nyimbo zake kama Go Low aliyoifanya na Jux kwamba alikopi nyimbo ya msanii mmja kutoka Ghana vilevile nyimbo yake mpya akiwa na Belle 9 Maole ambayo msanii Tox Star anadai kwamba wamekopi kiitiki0 cha ngoma yake inayoitwa ole.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *